Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AMKENI! Machi 2015 | Je, Kuna Mungu? Hilo Linakuhusuje?

Huenda ukashangazwa na majibu utakayopata.

HABARI KUU

Kuna Mungu? Hilo Linakuhusuje?

Je, ni muhimu kutafuta jibu la swali linaloonwa na wengi kuwa lisiloweza kujibiwa au lisilo na maana?

KUUTAZAMA ULIMWENGU

Kuimulika Afrika

Utoaji rushwa usioripotiwa ni sawa na uwindaji haramu wa vifaru.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Kushughulika na Wakwe

Mapendekezo matatu yanayoweza kukusaidia kushughulika na wakwe kusiwe tatizo katika ndoa.

TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA

Amri Zilizogawa Mabara

Kwa nini ni Brazili tu inayotumia lugha ya Kireno ikiwa lugha kuu katika nchi za Amerika?

Hewa Safi na Mwangaza wa Jua—Je, Ni ‘Dawa Asili Za Kuua Viini’?

Utafiti wa kisayansi wa leo unathibitisha usahihi wa utafiti uliofanywa katika miaka ya 1800.

MAONI YA BIBLIA

Kucheza Kamari

Je, ni mchezo usio na madhara yoyote?

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Uwezo wa Ajabu wa Kusikia wa Nondo Anayeitwa Greater Wax Moth

Akitumia sikio lake lisilo tata, anaweza kusikia kwa njia nzuri zaidi kuliko mnyama yeyote.

Habari Zaidi Mtandaoni

Yale Ambayo Vijana Wanasema Kuhusu Kusumbuliwa Kingono

Ona yale ambayo vijana watano wanasema kuhusu kusumbuliwa kwa njia hiyo na unachopaswa kufanya ukipatwa na hali hiyo.

Uwe Safi na Nadhifu

Yehova huweka kila kitu mahali pake. Jifunze jinsi wewe pia unavyoweza kuwa safi na nadhifu!