Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

AMKENI! Januari 2015 | Uhai Ulianzaje?

Jibu lako linategemea nini?

HABARI KUU

Uhai Ulianzaje?

Kwa nini wanasayansi wengine hawakubali kuwa uhai ulitokana na mageuzi?

HABARI KUU

Maswali Mawili Muhimu

Chunguza uone ikiwa majibu ambayo wanamageuzi wanatoa kuhusu chanzo cha uhai yanaridhisha.

HABARI KUU

Jibu Linaloridhisha

Kwa nini mtu ambaye zamani hakuamini kuna Mungu, alibadili maoni yake na kuanza kumwamini Mungu?

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Sega la Asali

Nyuki walijuaje kutumia nafasi vizuri, miaka mingi kabla ya wanahisabati kuthibitisha jambo hilo mwaka wa 1999?

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Jinsi ya Kudhibiti Hasira

Mambo matano kwenye Biblia ya kukusaidia udhibiti hasira.

NCHI NA WATU

Kutembelea Kosta Rika

Soma uone kwa nini watu wa nchi hii wanajulikana kama Ticos.

MAHOJIANO

“Najitahidi Kutofikiria Ugonjwa Wangu Kila Wakati”

Ni nini kinachomsaidia Elisa kuvumilia maumivu ya ugonjwa mbaya na hata wakati mwingine kusahau kwamba anaugua?

MAONI YA BIBLIA

Kuteseka

Je, Mungu anatujali tunapoteseka au kuumia?

KUUTAZAMA ULIMWENGU

Kuimulika Dini

Taarifa za karibuni zinaonyesha kwamba dini imeshindwa kuwaunganisha watu.

Habari Zaidi Mtandaoni

Kwa Nini Ujiepushe na Ponografia?

Ponografia na uvutaji wa sigara hufanana kwa njia ipi?

Uwe Mkarimu na Mwenye Fadhili

Ona jinsi Caleb na Sofia wanavyofurahi zaidi kwa sababu ya kuonyeshana ukarimu.