Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AMKENI! Oktoba 2014 | Mafanikio ya Kweli Yanapatikana Jinsi Gani?

Je, unapaswa kujitahidi kutimiza ndoto zako? Kutimiza kila jambo unalotamani? Au, unapaswa kufanya jambo muhimu zaidi?

HABARI KUU

Mafanikio ya Kweli Yanapatikana Jinsi Gani?

Mafanikio ya uwongo ni mabaya kuliko kushindwa.

HABARI KUU

Wewe Hupimaje Mafanikio?

Jipime kwa kufikiria hali nne zilizotajwa.

HABARI KUU

Jinsi ya Kupata Mafanikio ya Kweli

Mambo matano yanayoweza kukuletea mafanikio ya kweli.

Kuutazama Ulimwengu

Habari zinatia ndani: hatari za kiasi kidogo cha mahari, utajiri wa maharamia baharini, na uvumilivu wa ndege wanaohama.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Jinsi ya Kupinga Vishawishi

Wanaume na wanawake wa kweli wana uwezo wa kupinga vishawishi. Soma madokezo sita yanayoweza kukusaidia kuimarisha azimio lako la kuepuka mahangaiko yanayotokana na kukubali kushawishiwa.

NCHI NA WATU

Kutembelea Belize

Nchi hii ndogo ndiyo nchi ya kwanza ulimwenguni kuwa na hifadhi ya chui aina ya jaguar na pia ina sehemu ya tumbawe ambalo ni la pili kwa ukubwa duniani.

Watunza-Bustani Wanaoruka Katika Misitu ya Mvua

Popo wanaokula matunda, hutimiza jukumu muhimu katika kutunza mazingira.

MAONI YA BIBLIA

Sanamu

Je, Wakristo wa mapema walitumia sanamu katika ibada?

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Mguu wa Farasi

Kwa nini wahandisi wameshindwa kuiga muundo wa mguu wa farasi?