Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AMKENI! SEPTEMBA 2014

Jinsi ya Kukabiliana na Uchovu Mwingi

Kazi inayochosha inaweza kufanya usiwe na furaha na hata kuwa mgonjwa. Unawezaje kukabiliana na hali hiyo?

Kuutazama Ulimwengu

Habari zinatia ndani: sheria inayowataka watoto wawatunze wazazi wao waliozeeka, jeuri dhidi ya wanawake kutoka kwa watu wasiotazamiwa, na ustadi wa kughushi bidhaa.

Jinsi ya Kukabiliana na Uchovu Mwingi

Madokezo manne yatakayokusaidia usilemewe na kazi.

Sala

Je, tunapaswa kusali kwa malaika na watakatifu?

Jinsi ya Kushinda Kinyongo

Ili umsamehe mwenzi wako, je, unapaswa kupuuza au kujifanya kwamba hakukosea?

Kisukari—Unawezaje Kuepuka Ugonjwa Huu?

Asilimia 90 ya watu wenye kiwango cha juu cha sukari kwenye damu hawajui wana tatizo hilo.

Wamorisko Wafukuzwa Hispania

Baada ya Wamorisko kufukuzwa katika karne ya 17, Ukatoliki ukawa dini pekee nchini Hispania.

Chembe za Neva za Nzige Zinazotambua Mwelekeo

Nzige wanaepukaje kugongana wanaposafiri katika kikundi?

Habari Zaidi Mtandaoni

Nitawaelezaje Wengine Msimamo Wangu Kuhusu Ngono?

Ukiulizwa, ‘Wewe bado ni bikira?’ je, unaweza kueleza msimamo wako kuhusu ngono kwa kutumia Biblia?

Vijana Wanasema Nini Kuhusu Kuahirisha Mambo

Sikiliza kile ambacho vijana wanasema kuhusu hatari za kuahirisha mambo na faida za kutumia wakati wako kwa hekima.

Mungu Amtuma Musa Nchini Misri

Musa na Haruni walikuwa wajasiri walipokuwa wakizungumza na Farao. Pakueni mazoezi haya na myazungumzie pamoja mkiwa familia.