Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

AMKENI! Aprili 2014 | Usikate Tamaa!—Sababu Tatu za Kuendelea Kuishi

Je, umejaribu kujiua au labda mtu unayemfahamu amejaribu kujiua? Unaweza kubadili maoni yako ukijua sababu za kuendelea kuishi.

Kuutazama Ulimwengu

Habari zinatia ndani: jiji ambalo limepatanisha taa zote za barabarani, madhara ya afya ambayo yamezidi ukosefu wa chakula chenye lishe, na ndege mwenye umri unaozidi miaka 60 ambaye ameangua vifaranga.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Ufanye nini Unaposhauriwa?

Unawezaje kufaidika unaposhauriwa au kukosolewa?

HABARI KUU

Usikate Tamaa!

Ni nini kinachoweza kumfanya mtu atamani kufa?

HABARI KUU

Kwa Sababu Mambo Hubadilika

Hata kama hali yako haiwezi kubadilika, kuna jambo unaloweza kubadili.

HABARI KUU

Kwa Sababu Kuna Msaada

Mambo matatu yanayoweza kukusaidia uendelee kuishi.

HABARI KUU

Kwa Sababu Kuna Tumaini

Kama nuru inayoangaza gizani, tumaini linaweza kukusaidia usikazie fikira tu matatizo yako.

MAHOJIANO

Mtaalamu Anayefanya Utafiti Anaelezea Kuhusu Imani Yake

Frédéric Dumoulin alichukia dini sana hivi kwamba akawa mtu asiyeamini Mungu. Kujifunza Biblia na ubunifu ulio katika vitu vyenye uhai kulimsadikisha kwamba kuna Muumba?

NCHI NA WATU

Kutembelea Kambodia

Kwa nini watu ambao hawajawahi kukutana tena wanaitana ndugu, dada, shangazi, mjomba, bibi (nyanya), au babu?

MAONI YA BIBLIA

Ubaguzi wa Kijamii

Je, jamii zote ziko sawa? Je, ubaguzi wa kijamii utakwisha?

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Mabawa ya Kipepeo

Bawa la kipepeo aina ya Blue Morpho huonekana kuwa laini lakini lina magamba madogo yanayoweza kuonekana tu kwa kutumia darubini. Yana kusudi gani?

Habari Zaidi Mtandaoni

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mchafu?

Je, kuna mtu anayekushinikiza umtumie ujumbe mchafu? Kuna madhara gani ya kutuma ujumbe mchafu? Je, ni tendo lisilo na madhara la kumchezea mtu mwingine kimapenzi?

Je, Unahisi Upweke?

Fikiria hatua tatu za kukabiliana na upweke na kuanzisha urafiki wa kudumu.

Nifanye Nini Ninapoonewa?

Watu wengi wanaoonewa huhisi hakuna njia wanayoweza kusaidiwa. Makala hii inaeleza hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kuboresha hali hiyo.

Rafiki wa Kweli

Ni rahisi kupata marafiki bandia, lakini unawezaje kupata rafiki wa kweli?

Yosefu Aokoa Uhai

Mkiwa familia someni pamoja Mwanzo sura ya 41-50 mkitumia mazoezi haya ya kujifunza Biblia.