Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AMKENI! JANUARI 2014

Tovuti ya Kipekee

Je, ungependa kuielewa Biblia zaidi au kuboresha maisha ya familia yako? Je, wewe ni kijana anayetafuta mashauri? Tovuti yetu rasmi ina habari kwa ajili ya kila mtu.

Tovuti ya Kipekee

Chunguza sehemu mbalimbali za tovuti yetu na uone jinsi wewe na familia yako mnavyoweza kufaidika na hekima inayopatikana katika Biblia.

Kuutazama Ulimwengu

Habari kuhusu: haki za watoto katika nchi za Afrika zilizo kusini ya jangwa la Sahara, woga wa kunyanyaswa kupitia Intaneti nchini Italia, na kuongezeka kwa idadi ya vijana wanaokataa kupandishwa cheo kazini nchini Japani.

Mwanabiolojia Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Utendaji tata wa chembe ulimfanya Feng-Ling Yang, mwanasayansi nchini Japani, abadili maoni yake kuhusu nadharia ya mageuzi. Kwa nini?

Uumbaji

Biblia inataja “siku” sita ambazo Mungu aliumba uhai. Je, zilikuwa siku zenye urefu wa saa 24?

Kutembelea Italia

Italia inajulikana kwa historia yake, mandhari tofauti-tofauti, na watu wenye urafiki. Jifunze mengi kuhusu nchi hii na utendaji wa Mashahidi wa Yehova katika nchi hiyo.

Gundi ya Kipekee ya Buibui

Utando wa buibui unaweza kuwa wenye nguvu au dhaifu inapohitajika. Chunguza jinsi anavyofanya hivyo na kwa nini.