TUNAWEZA KUJIFUNZA NINI KUTOKANA NA . . . Noa?

JE, UMEWAHI KUJIULIZA KWA NINI NI MUHIMU KUMTII MUNGU?

• Paka rangi picha hizi. • Soma mistari ya Biblia iliyoonyeshwa, na uieleze unapojaza maneno ambayo yamekosekana. • Tafuta vitu vilivyofichika: (1) ngazi na (2) utando wa buibui.

Kwa nini ilikuwa muhimu kwa Noa kumtii Mungu?

DOKEZO: Yeremia 7:23; 2 Petro 2:5.

Ni nini kitakachokusaidia kumtii Mungu?

DOKEZO: 1 Mambo ya Nyakati 28:9; Isaya 48:17, 18; 1 Yohana 5:3.

Unajifunza nini kutokana na simulizi hilo?

Una maoni gani?

Ili kumtii Mungu, unapaswa kumtii nani mwingine?

DOKEZO: Waefeso 6:1-3; Waebrania 13:7, 17.

 Kusanya na Ujifunze

KADI YA BIBLIA 22 NEHEMIA

MASWALI

  1. A. Nehemia alitumikia kama ․․․․․ kwa Mfalme ․․․․․ wa Uajemi.
  2. B. Nehemia alifanya nini kabla ya kutoa ombi lake kwa mfalme?
  3. C. Alisali hivi: “Unikumbuke ․․․․․ Ee Mungu wangu.”

MAJIBU

  1. A. mnyweshaji, Artashasta.​—Nehemia 1:11; 2:1.
  2. B. Alisali.​—Nehemia 2:4.
  3. C. “. . . kwa ajili ya wema, . . . ”​—Nehemia 13:31.

Watu na Nchi

  Majina yetu ni Taonga na Mwelwa, nina umri wa miaka 6, na Mwelwa ana umri wa miaka 8. Tunaishi Zambia. Kuna Mashahidi wa Yehova wangapi nchini Zambia? Je, ni 90,000, 152,000, au 196,000?

  Ni alama gani inayoonyesha eneo tunaloishi? Chora duara kuzunguka alama hiyo, chora alama nyingine kuonyesha eneo unaloishi kisha uone kwenu ni umbali gani kutoka Zambia.

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

 MAJIBU

  1.  Ngazi katika picha ya 3.
  2. Utando wa buibui katika picha ya 2.
  3.  152,000. 
  4.  C.