Amkeni! ndilo gazeti lenye habari za ujumla linalosambazwa zaidi duniani!

Nakala zaidi ya milioni 360 huchapishwa katika lugha zaidi ya 100!

AFYA NA TIBA

 • Vijana Walioshuka Moyo: Na. 1

DINI

 • Je, Kweli Biblia Ni Kitabu cha Mungu? Na. 3

MAHOJIANO

 • Mtaalamu wa Programu za Kompyuta Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu (Dakt. Fan Yu): Na. 3

 • Mtaalamu wa Ubongo Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu (Rajesh Kalaria): Na. 4

MAHUSIANO YA WANADAMU

 • Je, Inafaa Kujihatarisha Kwa Kusudi la Kujisisimua? (vijana): Na. 5

 • ‘Jina Zuri Ni Bora Kuliko Utajiri Mwingi’: Na. 4

 • Jinsi ya Kuonyesha Uthamini (ndoa): Na. 1

 • Kuwafundisha Watoto Unyenyekevu (wazazi): Na. 6

 • Mzazi Anapokufa (vijana): Na. 2

 • Tabasamu—Zawadi Unayoweza Kushiriki na Wengine: Na. 1

 • Umuhimu wa Kazi za Nyumbani (wazazi): Na. 3

 • Watoto Wanapoondoka Nyumbani (ndoa): Na. 4

 • Watoto Wanavyoweza Kukabiliana na Huzuni: Na. 2

MAMBO MENGINE

 • Je, Una Shughuli Nyingi Kupita Kiasi? Na. 4

 • Kuokoa Nishati: Na. 5

 • Ni Nini Chanzo cha Mambo ya Uchawi? Na. 2

MAONI YA BIBLIA

MASHAHIDI WA YEHOVA

 • “Upendo Wao Ulitugusa Moyo Sana” (tetemeko nchini Nepal): Na. 1

MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU

 • Je, Ulimwengu Umepoteza Mwelekeo? Na. 6

 • Majanga Yanapotokea—Unachoweza Kufanya Ili Uokoke: Na. 5

NCHI NA WATU

SAYANSI

 • Manyoya ya Fisi Maji wa Baharini: Na. 3

 • Mbinu ya Nyuki ya Kutua: Na. 2

 • Mfumo wa Neva Ulio Tumboni: Na. 3

 • Mng’ao wa Bluu wa Beri Aina ya Pollia: Na. 4

 • Ngozi ya Chungu wa Sahara​—Mwavuli Unaomkinga na Joto: Na. 1

 • Umbo la Magamba ya Moluska: Na. 5

WANYAMA NA MIMEA

WATU WANAOTAJWA KATIKA HISTORIA