Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AMKENI! NA. 3 2016

Kushinda Kizuizi cha Lugha

Mashahidi wa Yehova wamefanya kazi kubwa ya kutafsiri.

Kushinda Kizuizi cha Tangu Zamani

Kwa nini Mashahidi wa Yehova hutafsiri machapisho yao katika lugha nyingi?

Kushinda Kizuizi cha Lugha—Kuchunguza Nyuma ya Pazia

Mtafsiri anaeleza jinsi kazi yao inavyoratibiwa.

Ignaz Semmelweis

Kila familia inapaswa kumshukuru. Unajua ni kwa nini?

Jinsi ya Kuzungumzia Matatizo

Mwanaume na mwanamke huwasiliana kwa njia tofauti. Kuelewa tofauti hizo kutakusaidia kuepuka matatizo mengi.

Imani

Biblia inasema kwamba ‘Bila imani haiwezekani kamwe kumpendeza vema.’ Hata hivyo imani ni nini? Unawezaje kuwa na imani?

Mzio wa Chakula na Tatizo la Kumeng’enya Chakula—Tofauti ni Nini?

Kwa nini ni muhimu kuchunguzwa na daktari ili kubainisha ikiwa una mzio au tatizo la kumeng’enya chakula?

Shingo ya Chungu

Mdudu huyu anawezaje kubeba mzigo mzito kuliko mwili wake?

Habari Zaidi Mtandaoni

‘Habari Njema kwa Kila Taifa, Kabila, na Lugha’

Ili kuwafikia watu wengi iwezekanavyo na kweli ya Biblia, ni muhimu sana kuwa na tafsiri sahihi. Kazi hii inafanywaje? Ni magumu gani ambayo watafsiri wanakabili?