Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo  |  Oktoba 2016

 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | METHALI 17-21

Fuatilia Amani Pamoja na Watu Wote

Fuatilia Amani Pamoja na Watu Wote

Amani miongoni mwa watu wa Yehova haiji bila jitihada. Kutoelewana kunapotokea, tunaweza kuwa na hisia kali kumwelekea aliyetukosea, hata hivyo ushauri wa Neno la Mungu una nguvu zaidi.

Wakristo waaminifu wanapokosana wao hufuatilia amani kwa . . .

19:11

  • kuwa watulivu

18:13, 17

  • kuhakikisha wana habari kamili kabla ya kuchukua hatua

17:9

  • kusamehe kosa kwa upendo