Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo  |  Oktoba 2016

Oktoba 10-16

METHALI 7-11

Oktoba 10-16
 • Wimbo 32 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Moyo Wako Usikengeuke”: (Dak. 10)

  • Met 7:6-12—Mara nyingi wasio na akili huhatarisha hali yao ya kiroho (w00 11/15 29-30)

  • Met 7:13-23—Maamuzi mabaya yanaweza kuongoza kwenye msiba (w00 11/15 30-31)

  • Met 7:4, 5, 24-27—Hekima na ufahamu ni ulinzi kwetu (w00 11/15 29, 31)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Met 9:7-9—Jinsi tunavyotenda tunaposhauriwa hufunua nini kutuhusu? (w01 5/15 29-30)

  • Met 10:22—Baraka ya Yehova katika siku zetu inatia ndani nini? (w06 5/15 26-30 ¶3-16)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Met 8:22–9:6

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.5 jalada—Mwalike mwenye nyumba kwenye mkutano wa mwisho-juma.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.5 jalada—Mwalike mwenye nyumba kwenye mkutano wa mwisho-juma.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 176 ¶5-6—Mwalike mwanafunzi wa Biblia kwenye mikutano.

MAISHA YA MKRISTO