Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA YETU YA KIKRISTO NOVEMBA 2016

Novemba 21-27

MHUBIRI 7-12

Novemba 21-27
 • Wimbo 41 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Mkumbuke . . . Muumba Wako Mkuu Katika Siku za Ujana Wako”: (Dak. 10)

  • Mhu 12:1—Vijana wanapaswa kutumia wakati na nguvu zao katika utumishi wa Mungu (w14 1/15 18 ¶3; w14 1/15 22 ¶1)

  • Mhu 12:2-7—Utendaji wa vijana hauzuiwi na “siku zenye msiba” zinazotokana na uzee (w08 11/15 23 ¶2; w06 11/1 16 ¶9)

  • Mhu 12:13, 14—Kumtumikia Yehova ndiyo njia bora ya kutumia maisha yako (w11 11/1 21 ¶1-6)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Mhu 10:1—Upumbavu kidogo unawezaje kumfanya mtu anuke? (w06 11/1 16 ¶5)

  • Mhu 11:1—Maneno “tupa mkate wako juu ya uso wa maji” yanamaanisha nini? (w06 11/1 16 ¶7)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Mhu 10:12–11:10

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) 2Ti 3:1-5 —Fundisha Kweli.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Isa 44:27–45:2 —Fundisha Kweli.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 25-26 ¶18-20 —Mkaribishe mwanafunzi kwenye mikutano.

MAISHA YA MKRISTO