Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YEREMIA 35-38

Ebed-meleki—Mfano wa Ujasiri na Fadhili

Ebed-meleki—Mfano wa Ujasiri na Fadhili

Ebed-meleki, ofisa katika makao ya Mfalme Sedekia, alionyesha sifa zinazompendeza Mungu

38:7-13

  • Alichukua hatua na kutenda kwa ujasiri kwa kwenda kuzungumza na Mfalme Sedekia kwa niaba ya Yeremia na kisha kumwokoa Yeremia kutoka katika tangi la maji

  • Alionyesha fadhili kwa kumpa Yeremia vitambaa laini na vipande vya nguo ili kamba zisichubue makwapa yake