Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA YETU YA KIKRISTO MEI 2016

Mei 23-29

ZABURI 19-25

Mei 23-29
 • Wimbo 116 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Unabii Unaeleza Mambo Hususa Kuhusu Masihi”: (Dak. 10)

  • Zb 22:1—Ingeonekana kwamba Mungu amemwacha Masihi (w11 8/15 15 ¶16)

  • Zb 22:7, 8—Masihi angetukanwa (w11 8/15 15 ¶13)

  • Zb 22:18—Mavazi ya Masihi yangepigiwa kura (w11 8/15 15 ¶14)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Zb 19:14—Mstari huu unatufundisha jambo gani muhimu tunaloweza kutumia maishani? (w06 5/15 19 ¶8)

  • Zb 23:1, 2—Kwa nini tunaweza kusema kwamba Yehova ni mchungaji mwenye upendo? (w02 9/15 32 ¶1-2)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 25:1-22

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) bh—Soma andiko kwenye kifaa cha mkononi.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) bh—Tumia alama ya kutafuta kwenye programu ya JW Library ili kutafuta mstari wa Biblia unaojibu swali ambalo mwenye nyumba aliuliza.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 129-130 ¶11-12—Mwonyeshe kifupi mwanafunzi jinsi anavyoweza kutumia programu ya JW Library ili kutayarisha kwa ajili ya kujifunza kwa kutumia kifaa cha mkononi.

MAISHA YA MKRISTO