Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha  |  Mei 2016

Mei 16-22

ZABURI 11-18

Mei 16-22
 • Wimbo 106 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Ni Nani Atakayekuwa Mgeni Katika Hema la Yehova?”: (Dak. 10)

  • Zb 15:1, 2—Ni lazima tuseme kweli katika moyo wetu (w03 8/1 13 18; w89 9/15 27 ¶1)

  • Zb 15:3—Ni lazima tuwe wanyoofu katika maneno yetu (w89 10/15 12 ¶10-11; w89 9/15 27 ¶2-3; w14 2/15 23 ¶10-11; it-2 779)

  • Zb 15:4, 5—Ni lazima tuwe washikamanifu katika mwenendo wetu wote (w06 5/15 19 ¶2; w89 9/15 29-30; it-1 1211 ¶3)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Zb 11:3—Mstari huu unamaanisha nini? (w06 5/15 18 ¶3; w05 5/15 32 ¶2)

  • Zb 16:10—Yesu Kristo alitimizaje unabii huu? (w11 8/15 16 ¶19; w05 5/1 14 ¶9)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 18:1-19

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) wp16.3 16—Soma andiko kwenye kifaa cha mkononi.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) wp16.3 16—Soma maandiko kwenye programu ya JW Library ili mwenye nyumba, anayezungumza lugha nyingine, aone tafsiri katika lugha yake.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 100-101 ¶10-11—Mwonyeshe kwa ufupi mwanafunzi jinsi ya kutumia JW Library kutafuta swali alilouliza.

MAISHA YA MKRISTO