Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo  |  Januari 2017

 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 38-42

Yehova Anampa Nguvu Mtu Aliyechoka

Yehova Anampa Nguvu Mtu Aliyechoka

40:29-31

  • Tai anaweza kupaa kwa saa nyingi, akitumia hewa yenye joto, au safu ya hewa yenye joto inayoinuka. Mara tu anapopata safu ya hewa yenye joto, tai huzunguka kwenye safu hiyo na hivyo yeye hupaa juu zaidi na zaidi. Safu moja inapomfikisha juu kiasi fulani anahamia kwenye safu inayofuata na utaratibu huo hurudiwa

  • Kupaa kwa tai kwa urahisi kunaonyesha jinsi tunavyoweza kuendelea kumwabudu Mungu kwa kutumia nguvu ambazo anatupa