Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha  |  Januari 2017

Januari 23-29

ISAYA 38-42

Januari 23-29
 • Wimbo 78 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Yehova Anampa Nguvu Mtu Aliyechoka”: (Dak. 10)

  • Isa 40:25, 26—Yehova ndiye Chanzo cha nguvu zote zenye msukumo (ip-1 410 ¶23-25)

  • Isa 40:27, 28—Yehova huona hali ngumu tunazovumilia na ukosefu wa haki tunaokabili (ip-1 413 ¶27)

  • Isa 40:29-31—Yehova huwapa nguvu wanaomtegemea (ip-1 414-415 ¶29-31)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Isa 38:17—Ni katika maana gani Yehova hutupa dhambi zetu nyuma yake? (w03 7/1 17 ¶17)

  • Isa 42:3—Yesu alitimizaje unabii huu? (w15 2/15 8 ¶13)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 40:6-17

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) lc—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) lc—Weka msingi wa ziara inayofuata.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak.6) lv 38-39 ¶6-7 —Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO