TAZAMA
Maandishi
Picha

Hezekia alikuwa mwenye bidii katika kurudisha ibada ya kweli

29:10-17

 • 746-716 K.W.K.

  Utawala wa Hezekia 746-716 K.W.K.

 • NISANI

  • Siku ya 1-8: Hekalu lasafishwa

  • Siku ya 9-16: Kusafishwa kwa hekalu kwakamilika

  • Mwanzo wa kurudishwa kwa ibada ya kweli na kupatanishwa kwa taifa lote la Israeli

 • 740 K.W.K.

  Kuanguka kwa Samaria

Hezekia anawakaribisha watu wote wenye mioyo minyoofu wakusanyike kwa ajili ya ibada

30:5, 6, 10-12

 • Wakimbiaji walitumwa kupeleka barua za sherehe ya Pasaka kotekote, kutoka Beer-sheba hadi Dani

 • Ingawa wengine waliwadhihaki, wengi walikubali mwaliko huo