Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha  |  Februari 2017

Februari 27–Machi 5

ISAYA 63-66

Februari 27–Machi 5
 • Wimbo 19 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Mbingu Mpya na Dunia Mpya Zitatokeza Shangwe Nyingi”: (Dak. 10)

  • Isa 65:17—“Mambo ya zamani hayatakumbukwa akilini” (ip-2 383 ¶23)

  • Isa 65:18, 19—Kutakuwa na shangwe nyingi (ip-2 384 ¶25)

  • Isa 65:21-23—Maisha yatakuwa yenye kuridhisha na watu watajihisi salama (w12 9/15 9 ¶4-5)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Isa 63:5—Ghadhabu ya Mungu inamtegemezaje? (w07 1/15 11 ¶5)

  • Isa 64:8—Yehova anatumiaje mamlaka yake akiwa Mfinyanzi? (w13 6/15 25 ¶3-5)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 63:1-10

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Efe 5:33—Fundisha Kweli.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) 1Ti 5:8; Tit 2:4, 5—Fundisha Kweli.

 • Hotuba: (Isizidi dak. 6) Isa 66:23; w06 11/1 30-31 ¶14-17—Kichwa: Kukutanika Pamoja—Jambo Linalodumu la Ibada Yetu.

MAISHA YA MKRISTO