Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ESTA 1-5

Esta Aliwatetea Watu wa Mungu

Esta Aliwatetea Watu wa Mungu

Esta alionyesha imani yenye nguvu na ujasiri alipowatetea watu wa Mungu

  • Mtu yeyote ambaye alienda kumwona mfalme bila kuitwa, angehatarisha uhai wake. Esta hakuwa amealikwa na mfalme kwa siku 30

  • Mfalme Ahasuero ambaye anadhaniwa kuwa Shasta wa Kwanza, alikuwa mwenye hasira kali sana. Pindi moja, aliagiza mwanamume fulani akatwe vipande viwili na mwili wake uwekwe mahali ambapo ungeonekana ili kuwa onyo kwa wengine. Pia, Vashti alipokosa kumtii alimwondolea cheo cha kuwa malkia

  • Esta alilazimika kujitambulisha kuwa alikuwa Myahudi na kumthibitishia mfalme, kwamba yeye, yaani mfalme, alikuwa amesalitiwa na mshauri wake mwenyewe aliyemtumaini