Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | NEHEMIA 12-13

Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Nehemia

Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Nehemia

Nehemia alitetea ibada ya kweli kwa bidii

13:4-9, 15-21, 23-27

  • Kuhani Mkuu Eliyashibu alimruhusu Tobia, ambaye hakuwa mwamini na aliyekuwa mpinzani, amwongoze vibaya

  • Eliyashibu alimpa Tobia jumba la kulia chakula hekaluni

  • Nehemia alitupa nje vitu vyote vya Tobia, akasafisha jumba hilo ili litumiwe kwa njia inayofaa

  • Nehemia aliendelea kuondoa uchafu wote Yerusalemu