Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha  |  Desemba 2016

 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 6-10

Masihi Alitimiza Unabii

Masihi Alitimiza Unabii
TAZAMA
Maandishi
Picha

Karne nyingi kabla ya Yesu kuzaliwa, Isaya alitabiri kwamba Masihi angehubiri “katika eneo la Yordani, Galilaya ya mataifa.” Yesu alitimiza unabii huu aliposafiri katika eneo lote la Galilaya akihubiri na kufundisha habari njema.—Isa 9:1, 2.

  • Alifanya muujiza wake wa kwanza —Yoh 2:1-11 (Kana)

  • Alichagua mitume wake —Mk 3:13, 14 (karibu na Kapernaumu)

  • Alitoa Mahubiri yake ya Mlimani —Mt 5:1–7:27 (karibu na Kapernaumu)

  • Alimfufua mwana mzaliwa-pekee wa mjane —Lu 7:11-17 (Naini)

  • Aliwatokea wanafunzi 500 hivi baada ya kufufuliwa—1Ko 15:6 (Galilaya)