Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha  |  Desemba 2016

Desemba 12-18

ISAYA 6-10

Desemba 12-18
 • Wimbo 116 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Masihi Alitimiza Unabii”: (Dak. 10)

  • Isa 9:1, 2—Ilitabiriwa kwamba angehubiri hadharani katika eneo la Galilaya (w11 8/15 10 ¶13; ip-1 124-126 ¶13-17)

  • Isa 9:6—Angekuwa na majukumu mengi (w14 2/15 12 ¶18; w07 5/15 6)

  • Isa 9:7—Utawala wake utaleta amani ya kweli na haki (ip-1 132 ¶28-29)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Isa 7:3, 4—Kwa nini Yehova alimwokoa Mfalme Ahazi mwovu? (w06 12/1 9 ¶4)

  • Isa 8:1-4—Unabii huu ulitimizwaje? (it-1 1219; ip-1 111-112 ¶23-24)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 7:1-17

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.6 jalada

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.6 jalada

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 34 ¶18—Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO