• Wimbo 123 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Kutumia Mamlaka Vibaya Humfanya Mtu Apoteze Mapendeleo”: (Dak. 10)

  • Isa 22:15, 16—Shebna alitumia mamlaka yake kwa ubinafsi (ip-1 238 ¶16-17)

  • Isa 22:17-22—Yehova alimpa Eliakimu mamlaka ya Shebna (ip-1 238-239 ¶17-18)

  • Isa 22:23-25—Mfano wa Shebna unatufunza mambo muhimu (w07 1/15 8 ¶6; ip-1 240-241 ¶19-20)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Isa 21:1—Ni eneo gani lililoitwa “nyika ya bahari,” na kwa nini? (w06 12/1 11 ¶2)

  • Isa 23:17, 18—Faida ya mali ya Tiro ilikuwaje “takatifu kwa Yehova”? (ip-1 253-254 ¶22-24)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 17:1-14

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) bh—Tumia video Kwa Nini Ujifunze Biblia? kutoa kitabu Biblia Inafundisha. (Zingatia: Usionyeshe video hiyo wakati wa sehemu hii.)

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) bh—Anzisha funzo la Biblia mlangoni kisha weka msingi wa ziara inayofuata.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 150-151 ¶10-11—Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO