Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo  |  Aprili 2016

Aprili 11-17

AYUBU 21-27

Aprili 11-17
 • Wimbo 83 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Ayubu Alikataa Mawazo Yasiyofaa”: (Dak. 10)

  • Ayu 22:2-7—Elifazi alitoa shauri lililotegemea mawazo na maoni yake yasiyo ya kweli (w06 3/15 15 ¶6; w05 9/15 26-27; w95 2/15 27 ¶6)

  • Ayu 25:4, 5—Bildadi alisema mambo yasiyo ya kweli (w05 9/15 26-27)

  • Ayu 27:5, 6—Ayubu hakuwaruhusu wengine wamfanye ahisi kwamba hakuwa amedumisha utimilifu (w09 8/15 4 ¶8; w06 3/15 15 ¶8)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Ayu 24:2—Kwa nini kuhamisha alama ya mpaka kulikuwa kosa zito? (it-1 360)

  • Ayu 26:7—Ayubu alisema jambo gani sahihi alipozungumza kuhusu dunia?(w15 6/1 5 ¶4; w11 7/1 26 ¶2-5)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: Ayu 27:1-23 (Isizidi dak. 4)

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: g16.2 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia. (Isizidi dak. 2)

 • Ziara ya Kurudia: g16.2 jalada—Weka msingi wa ziara inayofuata. (Isizidi dak. 4)

 • Funzo la Biblia: bh 145 ¶3-4 (Isizidi dak. 6)

MAISHA YA MKRISTO

 • Wimbo 129

 • Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ya kibonzo kwenye ubao yenye kichwa, Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi. (Tembelea Tovuti ya jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > MATINEJA.) Baada ya hapo, zungumzia maswali yafuatayo: Kwa nini mtu anaweza kunyanyaswa? Unyanyasaji unaweza kuleta madhara gani? Unaweza kukabilianaje na unyanyasaji au kuuepuka? Ukinyanyaswa unapaswa kumwambia nani? Watie moyo wasome kitabu Vijana Huuliza, Buku la 2, sura ya 14.

 • Funzo la Biblia la Kutaniko: ia sura ya 13 ¶1-12 (Dak. 30)

 • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

 • Wimbo 23 na Sala