Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA YETU YA KIKRISTO AGOSTI 2016

Agosti 22-28

ZABURI 106-109

Agosti 22-28
 • Wimbo 2 na Sala

 • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

 • Mshukuruni Yehova”: (Dak. 10)

 • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

  • Zb 109:8—Je, Mungu aliamua mapema kwamba Yuda atamsaliti Yesu ili kutimiza unabii huu? (w00 12/15 24 ¶20; it-1 857-858)

  • Zb 109:31—Ni kwa njia gani Yehova husimama “kwenye mkono wa kuume wa maskini”? (w06 9/1 14 ¶8)

  • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

  • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

 • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 106:1-22

BORESHA HUDUMA YAKO

 • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) ll 6—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

 • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) ll 7—Weka msingi wa ziara inayofuata.

 • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 178-179 ¶14-16—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari.

MAISHA YA MKRISTO