Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Biblia Kwenye Mtandao | BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017)

Kitabu cha Maombolezo

Sura

1 2 3 4 5

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Jiji la Yerusalemu lafananishwa na mjane

   • Limebaki ukiwa na kuachwa (1)

   • Dhambi nzito sana za Sayuni (8, 9)

   • Sayuni lakataliwa na Mungu (12-15)

   • Hakuna wa kulifariji Sayuni (17)

 • 2

  • Hasira ya Yehova dhidi ya Yerusalemu

   • Hakulihurumia (2)

   • Yehova ni kama adui yake (5)

   • Machozi yamwagwa kwa ajili ya Sayuni (11-13)

   • Wapita njia walidharau jiji lililokuwa maridadi awali (15)

   • Maadui washangilia kuanguka kwa Sayuni (17)

 • 3

  • Yeremia aeleza hisia na matumaini yake

   • “Nitaonyesha mtazamo wa kungojea” (21)

   • Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi (22, 23)

   • Mungu ni mwema kwa wale wanaomtumaini (25)

   • Ni jambo jema kwa vijana kubeba nira (27)

   • Mungu aziba kwa wingu njia ya kumkaribia (43, 44)

 • 4

  • Matokeo mabaya ya kuzingirwa kwa Yerusalemu

   • Ukosefu wa chakula (4, 5, 9)

   • Wanawake wawachemsha watoto wao wenyewe (10)

   • Yehova amemwaga hasira yake (11)

 • 5

  • Watu wasali warudishwe

   • ‘Kumbuka yale ambayo yametupata’ (1)

   • ‘Ole wetu; tumetenda dhambi’ (16)

   • ‘Turudishe, Ee Yehova’ (21)

   • “Zifanye siku zetu ziwe mpya” (21)