• 1

  • Waisraeli waongezeka Misri (1-7)

  • Farao awakandamiza Waisraeli (8-14)

  • Wakunga waliomwogopa Mungu hawakuwaua watoto (15-22)

 • 2

  • Musa azaliwa (1-4)

  • Binti ya Farao amchukua Musa kuwa mwanawe (5-10)

  • Musa akimbilia Midiani na kumwoa Sipora (11-22)

  • Mungu asikia kilio cha uchungu cha Waisraeli (23-25)

 • 3

  • Musa na kichaka cha miiba kilichowaka moto (1-12)

  • Yehova aeleza maana ya jina Lake (13-15)

  • Yehova ampa Musa maagizo (16-22)

 • 4

  • Ishara tatu ambazo Musa angefanya (1-9)

  • Musa ahisi hastahili (10-17)

  • Musa arudi Misri (18-26)

  • Musa akutana tena na Haruni (27-31)

 • 5

  • Musa na Haruni wakiwa mbele ya Farao (1-5)

  • Ukandamizaji wazidi (6-18)

  • Waisraeli wamlaumu Musa na Haruni (19-23)

 • 6

  • Ahadi ya kuwekwa huru yarudiwa (1-13)

   • Jina Yehova halikujulikana kikamili (2, 3)

  • Ukoo wa Musa na Haruni (14-27)

  • Musa kufika tena mbele ya Farao (28-30)

 • 7

  • Yehova amwimarisha Musa (1-7)

  • Fimbo ya Haruni yawa nyoka mkubwa (8-13)

  • Pigo la 1: maji yageuzwa kuwa damu (14-25)

 • 8

  • Pigo la 2: vyura (1-15)

  • Pigo la 3: mbu (16-19)

  • Pigo la 4: nzi (20-32)

   • Nchi ya Gosheni haikuathiriwa (22, 23)

 • 9

  • Pigo la 5: kufa kwa mifugo (1-7)

  • Pigo la 6: wanadamu na wanyama wapatwa na majipu (8-12)

  • Pigo la 7: mvua ya mawe (13-35)

   • Farao ataona nguvu za Mungu (16)

   • Jina la Yehova litatangazwa (16)

 •  10

  • Pigo la 8: nzige (1-20)

  • Pigo la 9: giza (21-29)

 • 11

  • Pigo la kumi latangazwa (1-10)

   • Waisraeli watawaomba Wamisri zawadi (2)

 • 12

  • Kuanzishwa kwa Pasaka (1-28)

   • Damu itanyunyizwa kwenye miimo ya mlango (7)

  • Pigo la 10: wazaliwa wa kwanza wauawa (29-32)

  • Safari ya Kutoka Misri yaanza (33-42)

   • Miaka 430 yafikia mwisho (40, 41)

  • Maagizo ya kushiriki Pasaka (43-51)

 • 13

  • Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wa Yehova (1, 2)

  • Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (3-10)

  • Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atolewa kwa Mungu (11-16)

  • Waisraeli waelekezwa kwenye Bahari Nyekundu (17-20)

  • Nguzo ya wingu na moto (21, 22)

 • 14

  • Waisraeli wafika baharini (1-4)

  • Farao awafuatia Waisraeli (5-14)

  • Waisraeli wavuka Bahari Nyekundu (15-25)

  • Wamisri wazama baharini (26-28)

  • Waisraeli wawa na imani katika Yehova (29-31)

 • 15

  • Musa na Waisraeli waimba wimbo wa ushindi (1-19)

  • Miriamu aimba akiwaitikia wanaume (20, 21)

  • Maji machungu yageuzwa kuwa matamu (22-27)

 • 16

  • Waisraeli wanung’unika kuhusu chakula (1-3)

  • Yehova asikia manung’uniko yao (4-12)

  • Wapewa mana na kware (13-21)

  • Hakuna mana siku ya Sabato (22-30)

  • Mana yahifadhiwa kuwa ukumbusho (31-36)

 • 17

  • Walalamika kuhusu ukosefu wa maji huko Horebu (1-4)

  • Maji yatoka mwambani (5-7)

  • Waamaleki wawashambulia na kuwashinda (8-16)

 • 18

  • Yethro na Sipora wawasili (1-12)

  • Ushauri wa Yethro wa kuwaweka waamuzi (13-27)

 • 19

  • Kwenye Mlima Sinai (1-25)

   • Waisraeli watakuwa ufalme wa makuhani (5, 6)

   • Watu watakaswa ili wakutane na Mungu (14, 15)

 • 20

  • Amri Kumi (1-17)

  • Matukio ya ajabu yawaogopesha Waisraeli (18-21)

  • Maagizo kuhusu ibada (22-26)

 • 21

  • Waisraeli wapewa sheria (1-36)

   • Kuhusu watumwa Waebrania (2-11)

   • Kuhusu kumtendea mtu mwingine kwa ukatili (12-27)

   • Kuhusu wanyama (28-36)

 • 22

  • Waisraeli wapewa sheria (1-31)

   • Kuhusu wizi (1-4)

   • Kuhusu kuharibu mazao (5, 6)

   • Kuhusu kulipia hasara na kumiliki mali (7-15)

   • Kuhusu kutongoza (16, 17)

   • Kuhusu ibada na kutenda haki katika jamii (18-31)

 • 23

  • Waisraeli wapewa sheria (1-19)

   • Kuhusu unyoofu na kutenda wema (1-9)

   • Kuhusu sabato na sherehe mbalimbali (10-19)

  • Waisraeli waongozwa na malaika (20-26)

  • Kuimiliki nchi na mipaka ya nchi (27-33)

 • 24

  • Watu wakubali kushika agano (1-11)

  • Musa akiwa kwenye Mlima Sinai (12-18)

 • 25

  • Michango kwa ajili ya hema la ibada (1-9)

  • Sanduku la Agano (10-22)

  • Meza (23-30)

  • Kinara cha taa (31-40)

 • 26

  • Hema la ibada (1-37)

   • Vitambaa vya hema (1-14)

   • Viunzi na vikalio (15-30)

   • Mapazia (31-37)

 • 27

  • Madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa (1-8)

  • Ua (9-19)

  • Mafuta kwa ajili ya taa (20, 21)

 • 28

  • Mavazi ya kuhani (1-5)

  • Efodi (6-14)

  • Kifuko cha kifuani (15-30)

   • Urimu na Thumimu (30)

  • Joho lisilo na mikono (31-35)

  •  Kilemba chenye bamba la dhahabu (36-39)

  • Mavazi mengine ya kuhani (40-43)

 • 29

  • Makuhani wawekwa rasmi (1-37)

  • Matoleo ya kila siku (38-46)

 • 30

  • Madhabahu ya uvumba (1-10)

  • Kuhesabiwa kwa watu na pesa za dhabihu ya kufunika dhambi (11-16)

  • Beseni la shaba la kunawia mikono na miguu (17-21)

  • Mchanganyiko wa pekee wa mafuta yanayotumiwa kutia mafuta (22-33)

  • Utaratibu wa kutengeneza uvumba mtakatifu (34-38)

 • 31

  • Mafundi wajazwa roho ya Mungu (1-11)

  • Sabato, ishara kati ya Mungu na Waisraeli (12-17)

  • Mabamba mawili ya mawe (18)

 • 32

  • Ibada ya ndama wa dhahabu (1-35)

   • Musa asikia uimbaji usio wa kawaida (17, 18)

   • Musa ayavunjavunja mabamba ya sheria (19)

   • Walawi wabaki washikamanifu kwa Yehova (26-29)

 • 33

  • Mungu awakaripia Waisraeli (1-6)

  • Hema la mkutano nje ya kambi (7-11)

  • Musa aomba kuona utukufu wa Yehova (12-23)

 • 34

  • Mabamba mapya ya mawe yatengenezwa (1-4)

  • Musa aona utukufu wa Yehova (5-9)

  • Maagizo kuhusu agano yarudiwa (10-28) (10-28)

  • Uso wa Musa watoa miale (29-35)

 • 35

  • Maagizo kuhusu Sabato (1-3)

  • Michango ya hema la ibada (4-29)

  • Bezaleli na Oholiabu wajazwa roho (30-35)

 • 36

  • Michango yazidi (1-7)

  • Ujenzi wa hema la ibada (8-38)

 • 37

  • Kutengeneza sanduku la agano (1-9)

  • Meza (10-16)

  • Kinara cha taa (17-24)

  • Madhabahu ya uvumba (25-29)

 • 38

  • Madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa (1-7)

  • Beseni la shaba (8)

  • Ua (9-20)

  • Orodha ya vifaa vya hema la ibada (21-31)

 • 39

  • Kutengeneza mavazi ya kuhani (1)

  • Efodi (2-7)

  • Kifuko cha kifuani (8-21)

  • Joho lisilo na mikono (22-26)

  • Mavazi mengine ya kuhani (27-29)

  • Bamba la dhahabu (30, 31)

  • Musa akagua hema la ibada (32-43)

 • 40

  • Ujenzi wa hema la ibada (1-33)

  • Utukufu wa Yehova wajaa katika hema la ibada (34-38)