Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Biblia Kwenye Mtandao | BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017)

Kitabu cha Danieli

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Yerusalemu lazingirwa na Wababiloni (1, 2)

  • Mafunzo maalumu ya mfalme kwa vijana waliohamishwa (3-5)

  • Uaminifu wa vijana wanne Waebrania wajaribiwa (6-21)

 • 2

  • Mfalme Nebukadneza aota ndoto ya kufadhaisha (1-4)

  • Wenye hekima washindwa kueleza maana ya ndoto (5-13)

  • Danieli amwomba Mungu msaada (14-18)

  • Mungu asifiwa kwa kufunua siri (19-23)

  • Danieli amwambia mfalme ndoto yake (24-35)

  • Maana ya ndoto (36-45)

   • Jiwe la Ufalme laivunja sanamu (44, 45)

  • Danieli aheshimiwa na mfalme (46-49)

 • 3

  • Sanamu ya dhahabu ya Mfalme Nebukadneza (1-7)

   • Walazimishwa kuabudu sanamu (4-6)

  • Waebrania watatu washtakiwa kwa kukataa kuabudu (8-18)

   • “Hatutaiabudu miungu yako” (18)

  • Watupwa kwenye tanuru la moto (19-23)

  • Waokolewa kimuujiza kutoka motoni (24-27)

  • Mfalme amsifu Mungu wa Waebrania (28-30)

 • 4

  • Mfalme Nebukadneza atambua utawala wa Mungu (1-3)

  •  Ndoto ya mfalme kuhusu mti (4-18)

   • Nyakati saba kupita baada ya mti kuangushwa (16)

   • Mungu ni Mtawala wa wanadamu (17)

  • Danieli aeleza maana ya ndoto (19-27)

  • Utimizo wa kwanza wamhusu mfalme (28-36)

   • Mfalme ashikwa na wazimu kwa nyakati saba (32, 33)

  • Mfalme amtukuza Mungu wa mbinguni (37)

 • 5

  • Sherehe ya mfalme Belshaza (1-4)

  • Maandishi ukutani (5-12)

  • Danieli aombwa aeleze maana ya maandishi (13-25)

  • Maana: Kuanguka kwa Babiloni (26-31)

 • 6

  • Njama ya maofisa Waajemi dhidi ya Danieli (1-9)

  • Danieli aendelea kusali (10-15)

  • Danieli atupwa kwenye shimo la simba (16-24)

  • Mfalme Dario amheshimu Mungu wa Danieli (25-28)

 • 7

  • Maono ya wanyama wanne (1-8)

   • Pembe ndogo yenye majivuno yatokea (8)

  • Mzee wa Siku afanya kikao (9-14)

   • Mwana wa binadamu apewa ufalme (13, 14)

  • Danieli ajulishwa maana ya maono (15-28)

   • Wanyama wanne ni wafalme wanne (17)

   • Watakatifu kupokea ufalme (18)

   • Kusimama kwa pembe kumi, au wafalme (24)

 • 8

  • Maono ya kondoo na mbuzi (1-14)

   • Pembe ndogo yajitukuza (9-12)

   • Mpaka jioni na asubuhi 2,300 (14)

  • Gabrieli aeleza maana ya maono (15-27)

   • Ufafanuzi kuhusu kondoo na mbuzi (20, 21)

   • Kutokea kwa mfalme mkali (23-25)

 • 9

  • Danieli atoa sala ya toba (1-19)

   • Miaka sabini ya ukiwa (2)

  • Gabrieli amtembelea Danieli (20-23)

  • Majuma sabini ya kinabii yatabiriwa (24-27)

   • Kutokea kwa Masihi baada ya majuma 69 (25)

   • Kuuawa kwa Masihi (26)

   • Kuangamizwa kwa jiji na mahali patakatifu (26)

 • 10

  • Danieli atembelewa na mjumbe wa Mungu (1-21)

   • Mikaeli amsaidia malaika (13)

 • 11

  • Wafalme wa Uajemi na Ugiriki (1-4)

  • Wafalme wa kusini na kaskazini (5-45)

   • Kutokea kwa mtozaji (20)

   • Kiongozi wa agano auawa (22)

   • Kutukuzwa kwa mungu wa ngome (38)

   • Mapambano kati ya mfalme wa kusini na wa kaskazini (40)

   • Habari za kushtua kutoka mashariki na kaskazini (44)

 • 12

  • “Wakati wa mwisho” na baadaye (1-13)

   • Mikaeli atenda (1)

   • Wenye ufahamu watang’aa (3)

   • Kuenea kwa ujuzi wa kweli (4)

   • Danieli ataamka na kupokea fungu lake (13)