Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Biblia Kwenye Mtandao | BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017)

Barua ya Kwanza ya Yohana

Sura

1 2 3 4 5

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Neno la uzima (1-4)

  • Kutembea katika nuru (5-7)

  • Uhitaji wa kuungama dhambi (8-10)

 • 2

  • Yesu, dhabihu ya upatanisho (1, 2)

  • Kushika amri za Mungu (3-11)

   • Amri ya zamani na amri mpya (7, 8)

  • Sababu za kuandika (12-14)

  • Msiupende ulimwengu (15-17)

  • Onyo dhidi ya mpinga-Kristo (18-29)

 • 3

  • Sisi ni watoto wa Mungu (1-3)

  • Tofauti kati ya watoto wa Mungu na watoto wa Ibilisi (4-12)

   • Yesu atazivunja kazi za Ibilisi (8)

  • Mpendane (13-18)

  • Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu (19-24)

 • 4

  • Kuyajaribu maneno yaliyoongozwa na roho (1-6)

  • Kumjua na kumpenda Mungu (7-21)

   • “Mungu ni upendo” (8, 16)

   • Hakuna woga katika upendo (18)

 • 5

  • Kumwamini Yesu huushinda ulimwengu (1-12)

   • Maana ya kumpenda Mungu (3)

  • Uhakika katika nguvu za sala (13-17)

  • Jihadharini katika ulimwengu mwovu (18-21)

   • Ulimwengu mzima katika nguvu za yule mwovu (19)