TAZAMA
Maandishi
Picha

WAKATI

MAHALI

TUKIO

MATHAYO

MARKO

LUKA

YOHANA

29, majira ya kupukutika

Mto Yordani, ng’ambo ya Yordani karibu na au huko Bethania

Yesu abatizwa na kutiwa mafuta; Yehova atangaza kwamba Yesu ni mwanawe na kumkubali

3:13-17

1:9-11

3:21-38

1:32-34

Nyika ya Yudea

Ajaribiwa na Ibilisi

4:1-11

1:12, 13

4:1-13

 

Bethania ng’ambo ya Yordani

Yohana Mbatizaji amtambulisha Yesu kuwa Mwana-Kondoo wa Mungu; wanafunzi wa kwanza wajiunga na Yesu

     

1:15, 29-51

Kana ya Galilaya; Kapernaumu

Muujiza wa kwanza kwenye harusi, Yesu ageuza maji kuwa divai; atembelea Kapernaumu

     

2:1-12

30, Pasaka

Yerusalemu

Asafisha hekalu

     

2:13-25

Azungumza na Nikodemo

     

3:1-21

Yudea; Ainoni

Yesu atembelea eneo la Yudea, wanafunzi wake wabatiza watu; ushahidi wa mwisho wa Yohana kumhusu Yesu

     

3:22-36

Tiberia; Yudea

Yohana afungwa gerezani; Yesu aondoka kuelekea Galilaya

4:12; 14:3-5

6:17-20

3:19, 20

4:1-3

Sikari, eneo la Samaria

Akiwa njiani kwenda Galilaya, afundisha Wasamaria

     

4:4-43

Nyika ya Yudea