Hamia kwenye habari

Taarifa kwa Ajili ya Wanasheria

 

Broshua Kuhusu Habari za Ulimwenguni Pote

Broshua hizi zimetayarishwa kwa ajili ya maofisa wa serikali, mashirika ya haki za binadamu na wanasheria ili kufafanua mambo muhimu kuhusu ibada ya Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote.

Taarifa Zaidi Kuhusu Ulaya

Taarifa muhimu kwa ajili ya maofisa wa serikali na mashirika ya haki za binadamu na ya kisheria barani Ulaya.