Mashahidi wa Yehova wanazingatia sana haki za watoto. Sehemu hii inaeleza hatua zinazochukuliwa na Mashahidi wa Yehova dhidi ya madai ya kumtendea vibaya mtoto.