Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Mambo ya Kisheria Nchini Uturuki

JUNI 3, 2016

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu Imeamuru Uturuki Itambue Majumba ya Ufalme Kuwa “Majengo ya Ibada”

Ingawa hali ya Mashahidi kutambuliwa kisheria imeboreshwa hatua kwa hatua, bado wanakabili ubaguzi wa kujenga na kutambuliwa kwa majengo yao ya ibada kuwa mahali pa ibada.

JUNI 11, 2014

ECHR Yawaunga Mkono Watu Wanne Waliokataa Utumishi wa Kijeshi Nchini Uturuki

Uamuzi wa tatu dhidi ya Uturuki unaonyesha wazi zaidi kwamba Mkataba wa Ulaya unawalinda wale wanaokataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri na kwamba lazima nchi zinazofanyiza Baraza la Ulaya zitambue haki ya uhuru wa dhamiri.

MACHI 17, 2014

Uturuki Haitafuata Viwango vya Ulaya Kuhusu Kukataa Utumishi wa Kijeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Kwa nini serikali hiyo imekataa kutambua haki ya wale wanaokataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri, haki ambayo ni ya msingi kwa kila mwanadamu?