Wenye mamlaka katika eneo la Taganrog nchini Urusi wanawashtaki Mashahidi wa Yehova kuwa wahalifu. Ni nini kilichowafanya washambulie uhuru wa ibada? Je, historia imeanza kujirudia?