Wenye mamlaka nchini Urusi wamekuwa wakitumia zaidi ushahidi wa uwongo kuhalalisha mashtaka yao dhidi ya Mashahidi wa Yehova wakidai kuwa wao ni wenye msimamo mkali wa kidini. Video hii inaonyesha visa vitatu vya aina hiyo na inaeleza athari ya matukio hayo kwa uhuru wa ibada nchini Urusi.