Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

DESEMBA 2, 2015
URUSI

Mahakama ya Taganrog Yawaadhibu Mashahidi kwa Utendaji wa Kidini

Mahakama ya Taganrog Yawaadhibu Mashahidi kwa Utendaji wa Kidini

Novemba 30, 2015, Hakimu Vasyutchenko aliwahukumu Mashahidi 16 wa Yehova huko Taganrog kwa sababu ya utendaji wao wa kidini, lakini akaahirisha hukumu hizo. Hukumu hiyo inawaathiri jinsi gani washtakiwa? Uamuzi huo utakuwa na matokeo gani kwa Mashahidi wa Yehova huko Taganrog na maeneo mengine ya Urusi? Video hii inaonyesha mtazamo wa Mashahidi wa Yehova kuhusu uamuzi huo na kueleza habari za karibuni zaidi kuhusiana na kesi hiyo ambayo imeendelea kwa muda mrefu.

 

Pata Kujua Mengi Zaidi

MASWALI YANAYOULIZWA MARA NYINGI

Mashahidi wa Yehova Wanaamini Nini?

Tambua kwa ufupi mambo 15 ya msingi tunayoamini.

MIKUTANO

Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme?

Jionee mwenyewe mambo ambayo hutendeka ndani ya Jumba la Ufalme.