Novemba 12, 2014, Mahakama Kuu ya Shirikisho la Urusi ilitetea uamuzi wa mahakama ya wilaya wa kufunga shirika la kisheria la Mashahidi wa Yehova jijini Samara, Urusi. Kufungwa kwa shirika la kisheria la Mashahidi kunamaanisha nini? Uamuzi huo unaweza kuwaathirije Mashahidi wa Yehova nchini Urusi?