Hamia kwenye habari

Mambo ya Kisheria Nchini Urusi

JUNI 20, 2018

Mashahidi Zaidi Wafungwa Baada ya Uvamizi Mbaya wa Nyumba Nchini Urusi

Wenye mamlaka nchini Urusi wameendeleza kampeni yao ya kuwatisha, kuwakamata na kuwafunga Mashahidi kwa kushiriki utendaji wa imani yao.