Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

MAMBO YA KISHERIA NA HAKI ZA KIBINADAMU

Mambo ya Kisheria Nchini Ukrainia

MACHI 24, 2017

Mahakama Kuu ya Ukrainia Yaimarisha Uhuru wa Kukusanyika kwa Amani

Mashahidi wa Yehova nchini Ukrainia sasa wanaweza kukusanyika kwenye majengo ya kukodi bila kuingiliwa.

DESEMBA 13, 2016

Kuzuiwa kwa Ibada Kwaendelea Kwenye Maeneo ya Mashariki Mwa Ukrainia

Vikundi vya watu wenye silaha vinaendelea kuyamiliki kwa nguvu Majumba ya Ufalme. Licha ya changamoto hizo, Mashahidi wanaendelea kukutana pamoja kwa ajili ya ibada pamoja na waabudu wenzao.

AGOSTI 28, 2015

Mahakama Kuu ya Ukrainia Yatetea Haki ya Kutojiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri Watu Wanapoandikishwa Kwenda Vitani

Mahakama za Ukrainia zakubali kwamba kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri ni haki ya msingi ya binadamu inayowalinda hata wakati watu wanapoandikishwa kwenda vitani.