Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

MAMBO YA KISHERIA NA HAKI ZA KIBINADAMU

Sri Lanka

AGOSTI 21, 2015

Wenye Mamlaka Nchini Sri Lanka Waanza Kutetea Uhuru wa Ibada

Mahakama kuu zimekubaliana kuangalia tena visa vya jeuri ambavyo watawa wa Kibudha wenye msimamo mkali waliwatendea Mashahidi wa Yehova na pia polisi kushindwa kuwalinda Mashahidi.