Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

MAMBO YA KISHERIA NA HAKI ZA KIBINADAMU

Rwanda

JUNI 14, 2016

Serikali ya Rwanda Yadhibiti Ubaguzi wa Kidini Shuleni

Hatua ya serikali ya kulinda uhuru wa kidini wa wanafunzi ni habari njema kwa wanafunzi walio Mashahidi.

MEI 6, 2016

Jamhuri ya Rwanda Yazingatia Utekelezaji wa Sheria

Ofisi ya Mchunguzi Maalumu ya Rwanda iliona waziwazi ukosefu wa haki na kuiomba Mahakama Kuu ya Taifa ichunguze upya uamuzi wake dhidi ya Mashahidi.

JULAI 2, 2015

Mahakama Nchini Rwanda Yapinga Ubaguzi wa Dini

Mahakama ya Karongi imetetea haki ya uhuru wa kuabudu ya wanafunzi nane Mashahidi. Je, uamuzi huo utasaidia kukomesha ubaguzi wa dini kwenye shule zote za Rwanda?