Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Kyrgyzstan

MACHI 1, 2016

Je, Waliotendewa Kikatili na Polisi Jijini Osh Watapata Haki Yao?

Mashahidi wa Yehova wanaisihi Ofisi ya Mwendesha-Mashtaka Mkuu ichukue hatua mara moja ya kuwafungulia mashtaka waliofanya kitendo hivyo cha jeuri.

MACHI 2, 2015

Uhuru wa Kidini Upo Katika Njia Panda Nchini Kyrgyzstan

Desemba 24, 2014, Mahakama Kuu ilitetea haki ya raia wote, kutia ndani Mashahidi wa Yehova, ya kushiriki pamoja na jirani zao imani yao ya kidini. Je, sasa Mashahidi walio kusini mwa Kyrgyzstan watafurahia uhuru wa kidini?