Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

NOVEMBA 10, 2015
KOREA KUSINI

Mahakama ya Korea Kusini Yajadili Jinsi ya Kushughulika na Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Mahakama ya Korea Kusini Yajadili Jinsi ya Kushughulika na Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Julai 9, 2015, Mahakama ya Katiba ya Korea ya Kusini ilisikiliza kesi ya watu watatu waliokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri. Ni nini kinachoweza kuisukuma mahakama hiyo kutambua haki ya kutojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri na labda kufikiria kuruhusu utumishi wa badala? Video hii inaonyesha kwa kifupi kesi hiyo na changamoto zinazoikabili Mahakama hiyo.

Pata Kujua Mengi Zaidi

MASWALI YANAYOULIZWA MARA NYINGI

Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Hawaendi Vitani?

Ulimwenguni pote, inajulikana kwamba Mashahidi wa Yehova hawaendi vitani. Soma uone ni kwa nini sisi huchukua msimamo huo.