Mashahidi wa Yehova walio gerezani kwa sababu ya imani yao kufikia Septemba 2018

ENEO

IDADI

SABABU

Eritrea

53

  • Kutojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

  • Shughuli za kidini

  • Sababu zisizofahamika

 

Urusi

25

  • Shughuli za kidini

 

Singapore

9

  • Kutojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

 

Korea Kusini

117

  • Kutojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

 

Turkmenistan

10

  • Kutojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

 

Jumla

214

 

Kifungu cha 18 cha Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa kinasema kwamba “haki ya kuwa na uhuru wa kufikiri, wa dhamiri, na wa kidini” ni haki ya msingi ya wanadamu. * Katika nchi fulani, Mashahidi wa Yehova wanaoishi kupatana na haki hiyo ya msingi wanafungwa gerezani na hata kutendewa kikatili. Wengi wao ni vijana ambao wanakataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri. Wengine wanafungwa gerezani kwa sababu ya imani yao.

^ fu. 26 Ona pia Azimio la Watu Wote la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa, Kifungu cha 18, na Mkataba wa Ulaya Kuhusu Haki za Kibinadamu, Kifungu cha 9.