Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

MAMBO YA KISHERIA NA HAKI ZA KIBINADAMU

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

MACHI 12, 2015

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Yakataza Ubaguzi wa Kidini Shuleni

Wenye mamlaka walitenda kwa uthabiti ili kukataza shule zinazoendeshwa na makanisa kupuuza haki za wanafunzi. Zaidi ya watoto 300 wa Mashahidi wamefukuzwa shuleni isivyo haki kwa misingi ya kidini.