Hamia kwenye habari

AGOSTI 30, 2019
ERITREA

RIPOTI YA PEKEE: Mateso ya Mashahidi wa Yehova Nchini Eritrea

RIPOTI YA PEKEE: Mateso ya Mashahidi wa Yehova Nchini Eritrea

Ripoti hii ya pekee inayohusu mateso ya Mashahidi wa Yehova nchini Eritrea, ya Agosti 2019, iliandaliwa na Ofisi ya Habari za Umma ili isambazwe na kutumiwa kuzungumza na wakuu wa serikali.

Pakua katika Kiingereza

Kufikia Agosti 2019, kulikuwa na Mashahidi 52 wa Yehova waliofungwa gerezani nchini Eritrea. Nakala hii inatia ndani habari fupi kuhusu kila Shahidi aliyefungwa.

Pakua katika Kiingereza

Aprili 28, 2018, Tume ya Afrika ya Haki za Kibinadamu na Watu (ACHPR) ilizungumzia jinsi serikali ya Eritrea inavyowatendea Mashahidi wa Yehova. Nakala ifuatayo ina muhtasari wa mambo ambayo ACHPR ilizungumzia katika mkutano uliofanyika kuanzia Oktoba 24 hadi Novemba 13, 2018.

Pakua katika Kiingereza