Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

MAMBO YA KISHERIA NA HAKI ZA KIBINADAMU

Bulgaria

JUNI 14, 2016

Tume ya Bulgaria Yatoa Adhabu kwa Sababu ya Ubaguzi wa Kidini

Kituo cha televisheni cha Bulgaria kiitwacho SKAT TV pamoja na waandishi wake wawili wa habari waliamuriwa walipe faini kubwa kuliko ilivyo kawaida kwa sababu ya kurusha matangazo yaliyochochea chuki na jeuri dhidi ya Mashahidi wa Yehova.