Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

JUNI 15, 2015
AZERBAIJAN

Mashahidi wa Yehova Waitaka Serikali ya Azerbaijan Ikomeshe Vifungo Visivyozingatia Haki

Mashahidi wa Yehova Waitaka Serikali ya Azerbaijan Ikomeshe Vifungo Visivyozingatia Haki

Februari 17, 2015, Serikali ya Azerbaijan iliwakamata na kuwafunga wanawake wawili ambao ni Mashahidi wa Yehova, kwa sababu ya kuzungumza na watu kuhusu imani yao. Wamefungwa katika mazingira magumu kama wahalifu hatari. Msikilize mwakilishi wa European Association of Jehovah’s Christian Witnesses anapoeleza hali inayowakabili wanawake hao.