Mambo ya Kisheria Nchini Azerbaijan
Mahakama ya Azerbaijan Yaamuru Irina Zakharchenko na Valida Jabrayilova Walipwe Fidia
Mahakama ya wilaya ya Baku imeagiza kwamba Irina Zakharchenko na Valida Jabrayilova walipwe fidia kwa sababu ya kufungwa isivyo haki kwa miezi 11.